Wednesday, 10 April 2013

MECHI ZA 10 APRIL 2013 - UEFA LIGI YA MABINGWA,ROBO FAINALI

21:45 Barcelona 1 - 1 Paris St Germain
21:45 Juventus  0 - 2 Bayern Munich

NB: Saa za Afrika Mashariki

Bayern Munich na Barcelona zaingianusu fainali.

Bao la ugenini la inusuru Barcelona.

----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Barcelona kuikosa  nusu fainali msimu huu? Germany kuwa na timu mbili nusu fainali?

Mechi za kwanza Barcelona ilitoka sare ya 2-2 dhidi ya PSG, na Bayern Munich iliitwanga Juve 2-0

No comments:

Post a Comment