16:30 Sunderland 1 - 1 Norwich
18:00 Tottenham 0 - 1 Fulham
19:00 Chelsea 2 - 0 West Ham Utd
19:00 Wigan Athletics 2 -1 Newcastle Utd
NB: Saa za Afrika Mashariki
Kwa matokeo haya Tottenham ni chakula cha Arsenal na Everton, Man City nayo hali sio nzuri sanaaa!
Msimamo wa top 10 (point mabanoni): 1.Man Utd (74), 2.Man City (59), 3.Chelsea (55), 4.Tottenham (54), 5.Arsenal (50), 6.Everton (48), 7.Liverpool (45), 8.West Brom (44), 9.Swansea (40), 10.Fulham (36)
---------------------------------------------------------------------------------------------------
Tottenham inaitafuta Man City, Chelsea inainyatia Tottenham na kuzikimbia Arsenal na Everton, kazi ipo!
No comments:
Post a Comment