15:45 Everton 2 - 0 Manchester City
18:00 Aston Villa 3 - 2 Queens Park Rangers
18:00 Southampton 3 - 1 Liverpool
18:00 Stoke City 0 - 0 West Bromwich
18:00 Swansea City 0 - 2 Arsenal
20:30 Manchester Utd 1 - 0 Reading
NB: Saa za Afrika Mashariki
Arsenal yaibuka usingizini, Man City na Liverpool zakwaa visiki!
Msimamo wa top 10 (point mabanoni): 1.Man Utd (74), 2.Man City (59), 3.Tottenham (54), 4.Chelsea (52), 5.Arsenal (50), 6.Everton (48), 7.Liverpool (45), 8.West Brom (44), 9.Swansea (40), 10.Fulham (33)
---------------------------------------------------------------------------------------------------------
Liverpool na Everton ni pressure kwa Arsenal. Kuna dalili za Arsenal kuteremka mpaka nafasi ya 7 kama itapoteza mechi!
Kesho: Sunderland v Norwich, Tottenham v Fulham, Chelsea v West Ham Utd, Wigan Athletics v Newcastle Utd
No comments:
Post a Comment