22:45 Barcelona 4 - 0 AC Milan
22:45 Schalke 04 2 - 3 Galatasaray
NB: Saa za Afrika Mashariki
Barcelona na Galatasaray zaingia robo fainali
Messi alifanyiza kwa kutungua mabao mawili ya dk 5 na 40 za kipindi cha kwanza. David Villa akaongeza bao la tatu ndani ya dk 10 za kipindi cha pili, msumari wa mwisho ulipigwa na Alba dk za majeruhi kabla ya mchezo kwisha.
-----------------------------------------------------------------------------------------------------
Timu gani kuaga UEFA Champ League leo?
Mechi ya kwanza Baca ilinyukwa 2 kwa yai, kazi kwao kubadili kibao, la sivyo ndio kwaheri! Schalke na Galatasaray zilitoka 1-1.
No comments:
Post a Comment