22:45 Bayern Munich 0 - 2 Arsenal
22:45 Malaga 2 - 0 FC Porto
NB: Saa za Afrika Mashariki
Bayern Munich na Malaga zaingia robo fainali.
Timu nyingine zilizo fanikiwa ni Barcelona, Borussia Dortmund, Galatasaray, Juventus, Paris St Germain, na Real Madrid
Pamoja na Arsenal wa Arsenal, imeshindwa kuendelea sababu Bayen Munich ilishinda mabao matatu ugenini dhidi ya mabao mawili ya ugenini ya Arsenal. Timu zote za Ligi kuu ya Uingereza zimetolewa kwenye Ligi ya mabingwa ya Uefa.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------
Arsenal ndio kwaheri Uefa Champ League ama kama Baca?
Arsenal ilibamizwa 3-1 mechi iliyopita tena uwanja wa nyumbani, wataweza kufurukuta ugenini? FC Porto ilishinda 1-0 mechi ya kwanza, Malaga itakubali kuaga mashindano kwenye uwanja wa nyumbani?
No comments:
Post a Comment