17:00 Millwall 0 - 0 Blackburn Rovers
19:30 Manchester Utd 2 - 2 Chelsea
NB: Saa za Afrika Mashariki
Mechi za marudiano zitatoa jibu!
Man Utd ilipata mabao ya zima moto dk ya 5 na 10 wakajua kazi imeisha. Chelsea ikafanikiwa kurudisha dk ya 14 na 23 za kipindi cha pili.
--------------------------------------------------------------------------------------------
Mbabe gani kuteleza, ni Man U ama Chelsea? Time will tell....
No comments:
Post a Comment