Sunday, 10 March 2013

MECHI ZA 10 MARCH 2013 - LIGI KUU YA UINGEREZA

18:00 Newcastle 2 - 1 Stoke
19:00 Liverpool 3 - 2 Tottenham

NB: Saa za Afrika Mashariki 

Tottenham yavutwa shati! Chelsea na Arsenal washindwe  wenyewe, Liverpool inawapiga chabo!

Msimamo wa top 10 (point mabanoni) : 1.Man Utd (71), 2.Man City (59), 3.Tottenham (54), 4.Chelsea (52), 5.Arsenal (47), 6.Liverpool (45), 7.Everton (45), 8.West Brom (43), 9.Swansea (40), 10.Fulham (33)

No comments:

Post a Comment