19:00 Tottenham 2 - 1 Arsenal
NB: Saa za Afrika ya mashariki
Zikiwa zimebaki mechi 10, Tottenham imedhiirisha nia ya kucheza UEFA msiku ujao, huku Arsenal ikianza kupoteza kasi dhidi ya Tottenham na Chelsea.
Msimamo wa top 10 ulivyo (point mabanoni): 1.Man Utd (71), 2.Man City (56), 3.Tottenham (54), 3.Chelsea (52), 5.Arsenal (47), 6.Everton (45), 7.Liverpool (42), 8.Swansea (40), 9.West Brom (40), 10.Fulham (33)
No comments:
Post a Comment