18:00 Chelsea 1 - 0 West Bromwich
18:00 Everton 3 - 1 Reading
18:00 Manchester Utd 4 - 0 Norwich
18:00 Southampton 1 - 2 Queens Park Rangers
18:00 Stoke City 0 - 1 West Ham Utd
18:00 Sunderland 2 - 2 Fulham
18:00 Swansea City 1 - 0 Newcastle Utd
20:30 Wigan Athletics 0 - 4 Liverpool
NB: Saa za Afrika Mashariki
Man Utd inakufuru, uenda wamebeba ubingwa tayari, kazi kwa Man City.
Msimamo wa top 10 ulivyo (point mabanoni): 1.Man Utd (71), 2.Man City (56), 3.Chelsea (52), 4.Tottenham (51), 5.Arsenal (47), 6.Everton (45), 7.Liverpool (42), 8.Swansea (40), 9.West Brom (40), 10.Fulham (33)
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Mechi 11 kufika ukingoni (pamoja na hizi)!
Man Utd kama kawa? Chelsea itadondosha point na kuipisha njia Arsenal? Liverpool nayo mmh, itakuwaje?
Kesho:Tottenham v Arsenal
No comments:
Post a Comment