15:45 Luton 0 - 3 Millwall
18:00 Arsenal 0 - 1 Blackburn Rovers
18:00 MK Dons 1 - 3 Burnsley
21:00 Oldham 2 - 2 Everton
NB: Saa za Afrika ya Mashariki
Ahh, vigumu kuamini lakini kwa matokeo haya Arsenal imetolewa kwenye kombe la FA! Ingawa Arsenal ilicheza gonga nzuri, bao la Blackburn lililopatikana dk ya 72 limekatiza safari ya Arsenal, na kufanya matumaini ya Arsenal kuibua kikombe msimu huu kuwa madogo!!!
Kesho: Ligi kuu: Liverpool v Swansea, Kombe la FA: Chelsea v Brentford, Man City v Leeds Utd, Huddersfield v Wigan
No comments:
Post a Comment