Wednesday, 13 February 2013

CHADEMA ILIVYO UNGURUMA TEMEKE 10 FEB 2013

Mh Zitto Kabwe alielezea sababu za kuvunjwa POAC (Public Organisations Accounts Committee) pia sababu za kuvunjwa Kamati ya Nishati na Madini iliyokuwa ikiongozwa na Mh. Mnyika

-POAC ilifichua jinsi CCM inavyotumia fedha za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ( NNSF, PPF nk) ili kutekeleza ilani zake bila mikataba. Baada ya ufichuaji huo, POAC imevunjwa.

-Barabara ya kutoka Mtwara mpaka Dar es salaam aijakamilika kwa miaka 51, lakini ujenzi wa bomba la kusafirisha gesi kutoka Mtwara mpaka Dar litakamilika baada ya miezi 18 kwa mkataba kati ya TPDC na China. Kamati ya Nishati na Madini ilipodai kuona mikataba hiyo kilichofuata ni kuvunjwa kwa kamati hiyo (mwaka jana).

-Namba za simu za spika, Anna Makinda na naibu wake, Ndugai zilitolewa kwa wananchi ili waweze kuwasiliana na spika na naibu kuwahimiza wang'ooke.....

Kaa mkao wa kuchukua namba za simu, msikilize Mh Zitto Kabwe.........


Dk Slaa alisisitiza kwamba Spika Makinda hakufuata taratibu, kwa hiyo POAC itaendelea na shughuli zake,  twanga link http://www.youtube.com/user/chadematv?feature=watch

No comments:

Post a Comment