Kundi A:
19:00 South Africa 0 - 0 Cape Verde
22:00 Angola 0 - 0 Morocco
NB: Saa za Afrika Mashariki
Afrika Kusini yashindwa kutamba!
-----------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni mechi za ufunguzi kwenye safari ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (CAF 2013). Wenyeji Afrika Kusini wanapata nafasi ya kukaribisha wenyeji, watameremeta vipi? Timu gani zitafanikiwa kucheza mechi ya fainali tarehe 10 February?
Kesho: Kundi B: Ghana v DR Congo, Mali v Niger
Kwa mechi za ligi kuu ya Uingereza angalia habari iliyotangulia hapo chini..
No comments:
Post a Comment