16:30 Chelsea 2 - 1 Arsenal
19:00 Tottenham 1 - 1 Man Utd
NB: Saa za Afrika Mashariki
Arsenal itakuwa mteremko mpaka lini?
Chelsea ilipata bao dk ya 6 na 16 za kipindi cha kwanza kupitia Mata na Lampard. Dakika ya 13 ya kipindi cha pili Walcot apatia Arsenal bao.
Top 7 ilivyo (point mabanoni): 1.Man Utd (56), 2. Man City (51), 3.Chesea (45), 4.Tottenham (41), 5.Everton (37), 6.Arsenal (34). 7. Liverpool (34)
--------------------------------------------------------------------------------------------------
Leo ni leo pamoja na baridi kali moto lazima utawaka, kudondosha point ni kosa kwa kila timu.
Kwa mechi za CAF angalia habari inayofuata hapo juu.....
Jumatatu: Southampton v Everton
No comments:
Post a Comment