Tuesday, 26 June 2012

RATIBA YA UKUSANYAJI WA MAONI YA KATIBA MPYA

Tume ya Mabadiliko ya Katiba imetoa ratiba ya kuanza kukusanya maoni ya Katiba mpya.

Tume hiyo itaanza kufanya mikutano na wananchi katika mikoa nane, kuanzia 02 July 2012 hadi 30 July 2012.

Mikoa hiyo ni Dodoma, Kagera, Kusini Pemba, Kusini Unguja, Manyara, Pwani, Shinyanga na Tanga

Pia maoni yatakusanywa kupitia tovuti ( www.katiba.go.tz) na kwa njia ya posta.

Kwa maelezo na mengineyo - http://www.katiba.go.tz/index.php/habari/165-tume-ya-mabadiliko-ya-katiba-yatoa-ratiba-ya-kazi-ya-kukusanya-maoni

No comments:

Post a Comment