Wednesday, 27 June 2012

MECHI YA 27 JUNE 2012 - EUFA EURO 2012

21:45 Portugal 2-4 Spain

NB: Saa za Afrika Mashariki

Spain yaingia Fainali.

Dakika 120 zilimalizika bila ya kupata mshindi.

Wakati wa penalty ukafika, Spain wakapata 4 kati ya 5, nao Portugal wakafanikiwa kupata 2.

Spain ndio walioanza, lakini penalty ya Alonso ikapanguliwa na kipa wa Portugal. Waliofuata na kufanikiwa walikuwa Iniesta, Pique, Ramos, akamalizia Fabregas.

Upande wa Portugal, alianza kupiga Moutinho lakini kipa wa Spain akapangua. Wakafuata Pepe na Nani ambao walifanikiwa, Alves akamalizia kwa kupiga mwamba na ndipo Spain (Fabregas) walipo tumia mwanya huo kwa kupigilia msumari wa mwisho na kuingia fainali.


-------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni nusu fainali, mshindi wa mechi hii atacheza fainali na mshindi wa mechi ya Germany na Italy.

Kesho: Germany v Italy

No comments:

Post a Comment