21:45 Czech 0-1 portugal
NB Saa za Afrika Mashariki
Portugal imeingia nusu fainali!
Baada ya Czech kumbana Ronaldo vizuri muda mwingi, hatimaye alifanikiwa kutumia mwanya aliopata kwenye dakika ya 79 na kupachika bao la kichwa kufuatia cross iliyotoka upande wa kona ya kulia mwa goli.
Portugal itacheza nusu fainali na mshindi kati ya Spain na France.
-------------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni mechi ya kwanza inayo kutanisha timu nane zilizo fanikiwa kuingia robo finali, ambapo mshindi wa mechi hii atafanikiwa kuingia nusu fainali
Kesho Ijumaa 22 June: Germany v Greece
No comments:
Post a Comment