21:45 Germany 4-2 Greece
NB: Saa za Afrika Mashariki
Germany wameingia nusu fainali.
Uenda mshindi wa kombe hili amejulikana! Germany sasa inasubiri mshindi wa mechi kati ya Engand na Italy.
----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Germany wanayo nafasi kubwa ya ushindi, lakini Greece wanaweza kufanya maajabu pia.
Kesho jumamosi: Spain v France
No comments:
Post a Comment