16:00 Kenya 0-0 Malawi
17:00 CAR 2-1 Botswana
17:30 Cameroon 1-0 DRC
19:30 Gambia 1-1 Morocco
19:30 Sierra Leone 2-1 Cape Verde
20:00 Tunisa 3-1 E.Guinea
20:00 Ivory Coast 2-0 Tanzania
21:00 Burkina Fasso 0-0 Congo
21:00 Senegal 3-1 Liberia
21:00 Sudan 2-0 Zambia
21:30 Algeria 4-0 Rwanda
NB Saa za Afrika Mashariki
Ni mechi za kwanza za mzunguko wa pili (2nd Round), kuwania kufuzu kucheza World Cup 2014, zitakazo chezwa nchini Brazil.
Mmmm Taifa Star's!
Mpaka mapumziko Taifa Star's (Tanzania) ilikuwa imepigwa 1-0, bao ambalo lilifungwa na Kalou kwenye dakika ya 18. Ivory Coast wakapata tena bao la pili lililofungwa na Drogba kwenye dakika ya 80.
Tanzania itacheza na Gambia kati ya tarehe 8 na 12 June 2012
No comments:
Post a Comment