Thursday, 7 June 2012

EURO 2012 - MSHINDI MECHI YA UFUNGUZI ATABIRIWA!

Ni vituko kabla ya michezo ya European Championship 2012 kuanza kesho.

Tembo kwa jina Citta, ametabiri mshindi wa mechi ya ufunguzi kati ya Poland v Greece.

Baada ya kuwekewa matunda matatu, Citta alikula la upande wa Poland ( kwamba Poland itashinda), na pia akachukua la kati (linaloashiria matokea ya sare). Sasa tujue lipi ni lipi?

Mchungulie ....

Mechi za kesho, kwa saa za Afrika Mashariki:
19:00 Poland v Greece
21:45 Russia v Czech

No comments:

Post a Comment