Sunday, 10 June 2012

MANNY PACQUIAO APIGWA NA TIMOTHY BRADLEY

Manny Pacquiao a.k.a Pacman, aliyeshikilia ubingwa wa wa masumbwi wa WBO Welterweight amepigwa na Timothy Bradley, a.k.a Desert Storm.

Kwenye pambano hilo lililofanyika tarehe 9 June 2012 kwenye ukumbi wa MGM, Las Vegas, waamuzi walimpa Bradley ushindi wa 113-115, 115-113, 115-113 ( Split Desicion) dhidi ya Pacquiao.

Ushindi huo wa Bradley umeleta utata, kwani ni Pacquiao aliyerusha makonde mengi zaidi ya mpinzani wake. Hata hivo Pacquiao amesema anaheshimu uamuzi wa waamuzi. Naye Bradley amedai kama watu awajaridhika, yupo tayari kukutana tena na mpinzani wake.

Ile ndoto ya Mayweather kupambana na Pacquiao baada ya kutoka jela a.k.a lupango, imeota majani kwa muda, kwani Pacquao hata mkanda bali ni Bradley.

Who's next?

No comments:

Post a Comment