Sunday, 10 June 2012

MECHI ZA 10 JUNE 2012 - KUWANIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA

16:00 Lesotho 0-0 Sudan
16:00 Mozambique 0-0 Zimbabwe
16:00 Rwanda 1-1 Benini
16:00 Ethiopia 2-0 Centra Africa Rep
16:00 Tanzania 2-1 Gambia
17:30 Congo (DR) 2-0 Togo
19:00 Liberia 0-0 Angola
19:00 Libya 2-1 Cameroon
20:00 Guinea 2-3 Egypt
22:00 Mali 2-1 Algeria

NB: Saa za Afrika Mashariki

Ohhh! hatimaye kipofu kaona mwezi!

Taifa stars imeifunga Gambia, hata hivyo Gambia sio timu ngumu. Kazi bado ipo, mechi inayofuata.

Kipindi cha kwanza kilimalizika Taifa Stars wakiwa nyuma kwa 1-0.

Hatimaye dakika 15 baada ya kipindi cha pili kuanza, Shomari Kapombe akaipatia Taifa Stars bao la kusawazisha. Nyoni naye akaipatia Taifa Stars bao la ushindi, dakika 9 kabla ya kipenga cha mwisho. 

---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Kuna makundi kumi ya A mpaka J, Tanzania ipo kwenye kundi C na ilipoteza mechi ya kwanza dhidi ya Ivory Coast kwa kufungwa 2-0.

Katika kundi C Tanzania a.k.a Timu ya Taifa, ipo mkiani bila point hata moja. Nini matokeo ya mechi hii?

Kwa mechi za Euro 2012 angalia habari iliyotangulia hapo chini

No comments:

Post a Comment