Ile picha ya Jacob Zuma ('The Spear') iliyoleta mzozo nchini Afrika Kusini imepatiwa ufumbuzi kupitia Chama cha ANC na jumba Goodman Gallery.
Upande wa Goodman Gallery pamoja na kuondoa picha hiyo kwenye mtandao wake, imekubali kutoonyesha picha hiyo kwenye jumba lake.
Chama cha ANC nacho kimekubali kufuta kesi ya madai mahakamani, dhidi ya jumba hilo.
Pia pande zote mbili zimekiri kwamba zingeweza kutaua tatizo hilo mapema badala ya kufukishana kwenye vyombo vya sheria.
No comments:
Post a Comment