Saturday, 24 September 2011

UCHAGUZI IGUNGA NA VITISHO VYA CCM

Kama CCM wanafanya vitisho vya aina hii hadharani, je  vyama vya upinzani vichukue hatua gani?

Uchaguzi wa Igunga umezua mengi na CCM wamelaumu wapinzani, sasa hili la Mh Rage alaumiwe nani? Huo mguu wa kuku hapo anamtishia nani? Labda maana yake ni kwamba usipopigia kura ya ndio chama hicho utajua kilicho mtoa nyoka pangoni!!!


















Tusubiri vyombo husika vikamilishe uchunguzi wao, shushhhh!

for more - http://www.mwananchi.co.tz/habari/-/15714-bastola-yamponza-rage-igunga

No comments:

Post a Comment