Saturday, 24 September 2011

MICHEZO NA MECHI ZA 24 & 25 SEPT 2011 -LIGI KUU YA UINGEREZA

Fomula 1
Singapore Grand Prix
24 Sept 2011:Qualifying 
Results : 1.Vetel 2.Weber 3.Button 4.Hamilton 5.Alonso

25 Sept 2011: Race
Results : 1.Vetel 2.Button 3.Weber 4.Alonso 5.Hamilton
- kwa matokeo hayo, ni wazi msimu huu hakuna atakayeweza kumpiku Vetel kupata ushindi! Kilichobaki ni kugombea nafasi ya pili na tatu.

Mechi za 24 Sept 2011 - Ligi kuu ya Uingereza
Arsenal 3-0 Bolton
Chelsea 4-1 Swansea
Liverpool 2-1 Wolverhampton
Man City 2-0 Everton
Newcasle 3-1 Blackburn
Stoke 1-1 Man Utd
West Brom 0-0 Fulham
Wigan 1-2 Tottenham

Mechi za 25 Sept 2011
QPR 1-1 Aston Villa 

No comments:

Post a Comment