Michezo inayovutia weekend hii:
Athletics -Daegu (Korea)
Usain Bolt atavunja record ama kushinda leo? Usikose mchana saa 9.20 (time za East Africa)
Matokeo- Usain Bolt ameshinda mbio za 200m kwa sekunde 19.40.
Football- CAF, 3rd and 4th Sept 2011
3 Sept- (matokeo kwenye mabano)
Tanzania v Algeria (1-1)
Kenya v Guinea Bissau (2-1)
Rwanda v Ivory Coast (0-5)
Namibia v Gambia (1-0)
Cameroon v Mauritius (5-0)
Malawi Tunisia (0-0)
Libya v Mozambique (1-0)
Sierra Leone v Egypt (2-0)
Mali v Cape Verde
Senegal v DR Congo
4 Sept
Baadhi ya mechi za kesho- Niger v South Africa, Burundi v Benin, Congo v Sudan, Angola v Uganda etc.
Matokeo yatakuwa vipi, je nchi za East Africa zitapata matokeo mazuri?
Tennis-US Open
Wanaume -Rodger Federer ,Jo-Wilfred T'songa, Andy Roddick , Andy Murray, Rafael Nadal watafikia hatua ipi?
Wanawake-Serena Willam, Anna Ivanovic etc. watafika hatua gani?
kong'oli hapa- http://www.usopen.org/en_US/scores/schedule/index.html?promo=subnav
No comments:
Post a Comment