Wednesday, 7 September 2011

MWEKEZAJI KILIMANJARO HOTEL AKANUSHA TUHUMA ZA WIKILEAKS!

Mwekezaji aliyehusishwa kwenye tuhuma za Wikileaks kwamba aligharamia safari na shopping ya JK London amekanusha uzushi huo.Mwekezaji huyo amesema ajawahi kumsafirisha wala kumgaramia JK ununuzi wa suti. for more- http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-14820588

Je nani mkweli na nani mzushi ? Je kuna walakini gani katika utoaji fedha za campaign kwenye vyama vya siasa? Je aliyekuwa balozi wa US kipindi hicho aliyehusishwa na nyaraka hizo atatoa majibu gani? Je kuna tume itaundwa kuchunguza tuhuma hizi?

No comments:

Post a Comment