Saturday, 10 September 2011

AJALI YA MELI UNGUJA / PEMBA

 MV Spice iliyokuwa ikitokea Unguja kuelekea Wete (Pemba) usiku wa kuamkia leo imepata  ajali. Juhudi za kuokoa abiria zinaendelea.

For more- http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-14864400

No comments:

Post a Comment