Saturday 27 April 2013

UCHOCHEZI ULIO MPELEKA Mh GODBLESS LEMA LUPANGO........

Mbunge wa Arusha, Mh Lema ameswekwa lupango kwa tuhuma za kuchochea fujo za wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA).
 
Baadhi ya makosa yanayo mkabili Mh Lema ni kuwaambia wanafunzi kwamba:
 
- 'Dhambi kubwa kuliko zote duniani ni woga'.
 
- 'Nitaandamana na nyie kwenda kwa mkuu wa mkoa kudai haki zenu, nk
 
Tusindikie mate wakati ...........' Video zifuatazo zilirekodi matukio yaliyopelekea hatua hiyo......
 
Mh Lema akizungumza na wanafunzi

Mkuu wa mkoa, Magesa Mulongo alivyo ambulia kuzomewa, mabomu ya machozi kurushwa
 

No comments:

Post a Comment