Sunday 7 April 2013

AZAM FC YAIBANA BARACK YC II NA KUSONGA MBELE KOMBE LA SHIRIKISHO (CAF)

Azam FC imefanikiwa kusonga mbele kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika  ( CAF Confederation Cup).

Mafanikio hayo ya Azama yamepatikana kufuatia matokeo ya 0-0 dhidi ya  Barrack Young Controllers (Barack YC II) ya Liberia, kwenye mechi iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jumamosi 06 April 2013

Mchezaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akipambana na Prince Jetoh wa Barack Y C II  


Katika mechi ya awali Azam iliinyuka BYC, 2-1.

No comments:

Post a Comment