Sunday 17 February 2013

MECHI ZA 17 FEB 2013 - LIGI KUU YA UINGEREZA

18:00 Liverpool 5 - 0 Swansea

NB: Kwa saa za Afrika ya Mashariki

Bwawa la maini limepata neema ya maji na kufikisha point 39 na kujikita katika nafasi ya 7.

----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Liverpool inazo point 36 ikiwa nafasi ya 9, wakati Swansea inazo point 37 na ipo kwenye nafasi ya 7. Swansea inayo mfungaji kwa jina Michu, ataendeleza kazi yake ama?

No comments:

Post a Comment