Sunday 10 February 2013

MECHI ZA 10 FEB 2013 - FAINALI YA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA (AFCON 2013)

21:00 Nigeria 1 - 0 Burkina Faso

NB: Saa za Afrika ya Mashariki

Nigeria Mabingwa wa Africa Cup of Nations 2013

Mhhhh, 'Asiye kubali kushindwa.........' Burkina Faso wamejitahidi.... 

---------------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni Burkina Faso kuchukua ubingwa? Labda Nigeria upepo uwaendee vizuri sababu Burkina Faso wanayo nafasi na uwezo zaidi.  

Kwa mechi za ligi kuu ya Uingereza - angalia habari inayofuata hapo juu

No comments:

Post a Comment