Wednesday 23 January 2013

MECHI ZA 23 JAN 2013 - KOMBE LA CAPITAL ONE (UINGEREZA)

22:45 Swansea 0 - 0 Chelsea

NB: Saa za Afrika Mashariki

Chelsea a.k.a machampion wa UEFA waipata joto ya jiwe, Swansea yaingia fainali!

Fainali ni Swansea v Bradford, kikombe kubebwa na Bradford.? 

--------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni nusu fainali mechi ya marudiano, mechi ya awali Chelsea ilicharazwa 2-0. Mechi hii ya ungenini itakuwaje?

Mechi ya Finali, 24 February : labda ni Swansea v Bradford, ahhhhhhh!

No comments:

Post a Comment