Saturday 19 January 2013

MECHI ZA 19 JANUARY 2013 - FAINALI ZA CAF 2013 (KOMBE LA MATAIFA YA AFRICA)

Kundi A:

19:00 South Africa  0 - 0  Cape Verde
22:00 Angola  0 - 0  Morocco

NB: Saa za Afrika Mashariki

Afrika Kusini yashindwa kutamba!

-----------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni mechi za ufunguzi kwenye safari ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (CAF 2013). Wenyeji Afrika Kusini wanapata nafasi ya kukaribisha wenyeji, watameremeta vipi? Timu gani zitafanikiwa kucheza mechi ya fainali tarehe 10 February?

Kesho: Kundi B: Ghana v DR Congo, Mali v Niger

Kwa mechi za ligi kuu ya Uingereza angalia habari iliyotangulia hapo chini..

No comments:

Post a Comment