Sunday 6 January 2013

MECHI ZA 06 JANUARY 2013 - KOMBE LA FA (UINGEREZA)

16:30 Swansea 2 - 2 Arsenal
19:00 Mansfield 1 - 2  Liverpool

NB: Saa za Afrika Mashariki

Baada ya kunusurika, Arsenal yapoteza ushindi wa 2-1 na kuambulia sare, watashinda mechi ya marudiano 16 Jan 2013?

------------------------------------------------------------------------------------------------------
Katika mechi mbili zilizopita Swansea iliichapa Arsenal 2-0 (Dec 1) na 3-2 (Jun 12), Arsenal inaweza kuthibitisha kwamba sio kibonde wa Swansea? 

No comments:

Post a Comment