Saturday 26 January 2013

JK ALIPOTEMBELEA MAKAO MAKUU YA FIFA

Rais Jakaya Kikwete alitembelea makao makuu ya mpira wa miguu duniani (FIFA). Raisi Kikwete alifanya ziara hiyo kufuatia mwaliko aliopewa na rais wa FIFA, Sepp Blatter.





No comments:

Post a Comment