
Faida nyingine ni gharama ndogo na pia kuboresha maisha haswa ya wanawake na watoto kwani wataweza kutumia muda mchache zaidi ya ule unaotumika kutafuta njia mbadala.
Kama wananchi wata fahamishwa na kuwezeshwa kutumia biogas majumbani n.k, uenda karaha za mgao wa umeme wa TANESCO zitakuwa historia.
Kujua zaidi twanga link:
http://www.simgas.com/
Pia twanga link:
http://www.thecitizen.co.tz/business/-/28382-biogas-did-you-know-scraps-could-power-your-entire-life
No comments:
Post a Comment