Hivi ni kweli CCM imeshika madaraka kwa miaka 36! Huduma kwa wazee na kasi ya maendeleo ya vijana, wanawake na watoto ni ndogo. Huduma za afya, nafasi za ajira n.k, aziendani na hali halisi.

Watoto (aka taifa la kesho) wakindaa shamba la mpunga katika kijiji cha Luchili wilayani Sengerema mkoani Mwanza. Watoto wangapi nchini wanafanya shughuli kama hizi badala ya kutumia muda wao kusoma, ama shughuli zinazoendana na umri wao?

Pichani: Ujumbe wa sekretariati ya CCM ukiongozwa na Katibu mkuu wa chama hicho, A. Kinana, baada ya kuwasili mjini Dodoma wakielekea Kigoma kwa usafiri wa treni.
Ahhh, going for the cheapest transport to save for themselves, not for the nation! Ukifika wakati wa uchaguzi mashindano ya Helicopta na mashangigi kama kawa!

Pichani: Katibu mkuu wa CCM, A.Kinana akizungumza na wananchi baada ya kufika Dodoma.
Thamani ya shilling, mfumuko wa bei (inflation), umeme, ajira na mishahara, usafiri, elimu, mazao ya chakula na biashara nk, hali ipo vipi?
No comments:
Post a Comment