Saturday, 8 December 2012

MECHI ZA 08 DECEMBER 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

18:00 Arsenal 2 - 0 West Bromwich Albion
18:00 Aston Villa 0 - 0 Stoke City
18:00 Southampton 1 - 0 Reading
18:00 Sunderland 1 - 3 Chelsea
18:00 Swansea City 3 - 4 Norwich City
18:00 Wigan Attletics 2 - 2 Queens Park Rangers

NB: Saa za Afrika Mashariki

Arsenal imefikisha point 24 na kupanda nafasi nne juu mpaka nafasi ya 6, hatima ya nafasi hii ni matokeo ya mechi za Everton na West Ham kesho. Chelsea nayo imefikisha point 29 na kujizatiti kwenye nafasi ya tatu.

------------------------------------------------------------------------------------------------------
Arsenal inazo point 21 na ipo nafasi ya 10 ushindi ni la sivyo itashuka chini ya top 10 kama Norwich na Liverpool zitashinda mechi zao.

Chelsea inazo point 26 ipo nafasi ya 3, inaweza kushuka mpaka nafasi ya 5 kama Tottenham na West Bromwich zitashinda!

Kesho: Man City v Man Utd, Everton v Tottenham, West Ham Utd v Liverpool

No comments:

Post a Comment