22:45 Dynamo Kiev 0 - 2 Paris St Germain
22:45 FC Porto 3 - 0 Dynamo Zagreb
22:45 Arsenal 2 - 0 Montpellier
22:45 Schalke 04 1 - 0 Olympiakos
20:45 Zenit St Petersburg 2 - 2 Malaga
22:45 Alderlecht 1 - 3 AC Milan
22:45 Ajax 1 - 4 Borussia Dotmund
22:45 Manchester City 1 - 1 Real Madrid
NB: Saa za Afrika Mashariki
Baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo (20 Nov: Juventus 3-0 Chelsea, 17 Nov: West Brom 2-1 Chelsea) na huku nafasi ya kuingia kwenye last 16 ikiwa finyu, Chelsea imemtimua manager Roberto Di Matteo na kumteua Rafael Banitez kama manager wa muda. 25 Nov Chelsea itapambana na Man City.
Man City imetolewa rasmi ingawa bado mechi moja kwa kila timu! Zifuatazo ni timu zilzofanikiwa kuingia kwenye last 16: FC Porto, Paris St G, Arsenal, Schakle 04, Malaga, AC Milan, Real Madrid, Borusia Dortmund, Bayern Munich, Valencia, Barcelona, na Man Utd.
Kundi A: 1.FC Porto (13), 2.Paris St G (12), 3.Dynamo Kiev (4), 4.D Zagreb (0)
Kundi B: 1.Schakle (11), 2.Arsenal (10), 3.Olympiakos(6), 4.Montpellier (1)
Kundi C: 1.Malaga (11), 2.AC Milan (8), 3.Zenit St P'g (4), 4.Alderletch(4)
Kundi D: 1.Borussia Dotmund (11), 2.Real Madrid (8), 3.Ajax (4), Man City (3)
-------------------------------------------------------------------------------------------------------
Real inahitaji ushindi kuwa na hakika ya kusonga mbele, na matokeo hayo itakuwa bye bye kwa Man City msimu huu!
Arsenal inahitaji ushindi na huku ikiomba Schakle ishinde ili kujihakikishia kusonga mbele, kinyume
na hapo hali bado si shwari!
No comments:
Post a Comment