Saturday 13 October 2012

MECHI ZA 13 OCTOBER 2012 - AFRICA CUP OF NATIONS, KUWANIA FAINALI ZA 2013

15:30 Malawi 0-1 Ghana
16:00 Botswana 1-4 Mali
16:00 Uganda 8-9 Zambia
18:00 Nigeria 6-1 Liberia
21:15 Tunisia 0-0 Siera Leone
21:30 Senegal 0-2 Ivory Coast **
23:00 Morocco 4-0 Mozambique

NB Saa za Afrika Mashariki

Nchi zilizo songa mbele: Ghana, Mali, Zambia, Nigeria, Tunisia,Morocco...

** Baada ya kupigwa mechi ya kwanza 2-4, na kuona dalili za kupoteza mechi hii ya marudiano washabiki wa Senegal walipandisha mzuka na kuanzisha vurugu, kuwasha moto majukwaani na kusababisha mchezo kusitishwa dk ya 76.

Uganda imeaga mashindano! Muda wa kawaida ulimalizika Uganda kifua mbele kwa ushindi wa 1-0, wakati mechi ya kwanza Zambia ilishinda 1-0. Hivyo mshindi kutafutwa kwa njia ya penalty, Zambia ikafanikiwa ushindi wa penalty 9-8. 

Kesho, Jumapili: Algeria v Libya, Cameroon v Cape Verde, Togo v Gabon, Angola v Zimbabwe, Niger v Guinea, Ethiopia v Sudan, Burkina Faso v CAR

No comments:

Post a Comment