Monday 17 September 2012

MECHI ZA 17 SEPT 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

22:00-Everton 2-2 Newcastle

NB: Saa za Afrika Mashariki

Everton ilitawala kipindi cha kwanza na kwenda mapumziko ikiwa na bao moja lililofungwa dk ya 15 kupitia Baines.

Kipindi cha pili Newcastle ilianza kwa nguvu na kusawazisha dk ya 4 baada ya mapumziko kupitia Demba Ba, Everton ikapata bao la pili dk2 kabla ya mchezo kumalizika kupitia Victor Anichebe, naye Demba Ba akaifungia Newcastle bao la kusawazisha dk ya 90.    


----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Everton inazo point 6, kama itashinda mechi hii na kupata point tatu itafikisha point 9 na kusogea mpaka nafasi ya tatu.

Top five ilivyo (point mabanoni): 1.Chelsea (10), 2.Man Utd (9), 3.Arsenal (8) 4.Man City (8), 5.Swansea (7) 

Kesho: Uefa ligi ya mabingwa (Champions League) kundi C, baadhi ya mechi:
Real Madrid v Man City, Montpellier v Arsenal, Borussia Dotmund v Ajax, Malaga v Zenit St P'g, nk

No comments:

Post a Comment