Tanganyika2day
Saturday, 18 August 2012
ROBIN VAN PARSIE ATIMIZA NDOTO YA KUCHEZEA MAN UTD
Robin Van Parsie ameanza msimu wa 2012/13 akiwa Man Utd na siyo Arsenal.
Ni £24m zilizo muhamisha kutoka Arsenal, na uenda atalipwa £200,000 kwa wiki.
Van Parsie amefuata nyayo za Patrick Viera, Kolo Toure, Thierry Henry, Fabregas kuikimbia Arsenal!
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment