22:45 Apoel Nicosia 5-3 Lyon ..........(penalty 4-3)
22:45 Barcrelona 7-1 Bayern Leverkusen
NB: Saa za Afrika Mashariki
Kwa mabao 5ya Messi na mawili ya Tello, Barcelona wamesonga mbele na kuwatoa Bayern ambao wamejipatia bao la kufutia machozi dk ya 90.
Mechi ya kwanza Barcelona waliwatwanga Bayern 3-1, kwa ushindi huu Barca wamesonga mbele kwa jumla ya mabao 10-2
Apoel Nicosia walimaliza dk 90 wakiwa kifua mbele kwa 1-0, mechi ilienda Extra Time baada ya kukosekana mshindi kufuatia mechi ya kwanza ambapo Lyon walishinda 1-0.
Dk 30 za ziada azikupata mshindi, hatimaye matuta a.k.a penalty zikapigwa, Lyon walikosa penalty 2 kati ya 5 na kuipa ushindi Apoel Nicosia iliyopata penalty 4.
Wiki ijayo:
13 March -Bayern Munich v FC Basel, Inter Milan v Marseille
14 March -Chelsea v Napoli, Real Madrid v CSKA Moscow
No comments:
Post a Comment