Tuesday, 10 January 2012

JAY-Z -GLORY feat B.I.V

Kweli maneno matupu................!

Yalisemwa mengi kuhusu ujauzito wa Beyonce (kujua zaidi angalia- ZOGO KUHUSU UJAUZITO WA BEYONCE! ) , na sasa topic hiyo imefungwa rasmi!

Badala ya kutangaza moja kwa moja kuputia vyombo vya habari, Jay-Z ametoa ngoma mpya kuelezea furaha yake (Glory)  kuhusu ujio wa mtoto wao Blue Ivy Carter (B.I.V).

The most amazing feeling I feel.................., You're my child, with the child from Destiny's child....  hayo ni baadhi ya maneno yake! Msilikize ....

No comments:

Post a Comment