Jarida la mitindo JACKIE nchini Holland limejikuta katika mzozo baada ya kutoa story kuhusu Rihanna kwa kutumia lugha za mitaani kwamba ni The Nig..bit...!
Baada ya kuona maelezo hayo Rihanna hakuchelewa kwani naye alituma ujumbe kwenye twitter uliomalizia kwa fataki kali lenye maneno mawili machafu ya mitaani, F... y... (twanga link- http://marquee.blogs.cnn.com/2011/12/20/rihanna-responds-to-slur-in-dutch-magazine/ ) !
Kuona hivyo ilimbidi muhariri wa jarida hilo aombe radhi, ingawa kwa mtazamo ombi hilo limeelekezwa rasmi kwa wasomaji na sio kwa Rihanna, labda ni mojawapo ya sharti alilopewa na Rihanna!
Kujua ilivyoanza twanga link- http://parlourmagazine.com/2011/12/dutch-magazine-jackie-refers-to-rihanna-as-the-ultimate-niggabitch/
No comments:
Post a Comment