Saturday 31 December 2011

MECHI ZA 31 DEC 2011- LIGI KUU YA UINGEREZA

15:45 Man Utd 2-3 Blacburn
18:00 Arsenal 1-0 QPR
18:00 Bolton 1-1 Wolves
18:00 Chelsea 1-3 Aston Villa
18:00 Norwich 1-1 Fulham
18:00 Stoke 2-2 Wigan
18:00 Swansea 1-1 Tottenham

NB: Saa za Afrika Mashariki

-Wow ya leo kali! Vijana wa Man Utd wamempa Manager wao (Alex F) zawadi nzuri ya siku kizaliwa kwake ya kutimiza miaka 70 kwa kupoteza point tatu muhimu! Hata hivo Alex F alidai anataka kuendelea kuwa manager wa Man Utd kwa miaka mitatu zaidi, na timu yake imepigwa bao tatu za nguvu! Njia nyeupe kwa Man City .........

-Arsenal wamemsajili Henry kwa mkopo wa miezi miwili (Jan & Feb) , anategemewa kucheza mechi ya terehe 2Jan ama 9Jan. Imekuwa motisha kwa Gunners wameshinda mechi muhimu ya kufunga mwaka na kusogea nafasi ya  nne, thanks for Chelsea kupoteza mechi ya leo!

-Kweli Chelsea wapo njia panda sababu Aston Villa wamejivunia ushindi wa leo dhidi ya Chelsea, na kusababisha jahazi la Chelsea kuundelea kuzama na sasa wameshuka nafasi ya tano! 

-Tottenham ungangari wao labda ni nguvi ya soda dalili zinaaza kuonekana,  Arsenal wananyemelea  kuchukua nafasi ya tatu, Swansea watajivunia kutoa sare dhidi ya Tottenham!

No comments:

Post a Comment