Saturday 12 November 2011

VETEL ANAENDELEA KUTAWALA FOMULA 1

Kwa mara nyingine tena Sebastian Vetel ameendelea kutawala kwenye Fomula 1 baada ya kuchukua nafasi ya kwanza (pole position) kwenye Abu Dhabi Grand Prix, nafasi hiyo ilikuwa umetawaliwa na Hamilton hadi dakika za mwisho.

Mpangilio wa kesho top eight ni : 1.Vetel(red Bull) 2.Hamilton (McLaren) 3.Batton (McLaren)4.Webber Red Bull) 5.Alonso (Ferrari 6.Massa (Ferrari) 7.Rosberg (Mercedes) 8.Schumacher(Mercedes)  9.Sutil(Force India)  10.Di Resta (Force India)

Kesho race nani atashinda? Ni Vetel kama kawaida, ama Hamilton na Batton watafanya maajabu kuharibu record ya Vetel kutawala msimu huu?
Usikose kesho, race zitaanza saa 10 jioni kwa saa za Afrika mashariki

No comments:

Post a Comment