Je haya ni ya kweli ama ni propaganda? Kampeni za uchaguzi mdogo wa Igunga zimezua balaa ambapo mwananchi mmoja alimwagiwa tindikali, pamoja na hayo CCM imelaani kitendo hicho na kusema kwamba hayo ni matokeo ya peoples power!
Lakini kwa upande mwingine lawama zinarudi hukohuko CCM, je nani msema kweli? Vyombo husika vimefikia wapi uchunguzi wa jambo hilo! Na hatua gani zitachukuliwa dhidi ya mchezo huu mchafu?
Chungulia hapa uone - http://www.youtube.com/watch?v=BbGRUHEedWE
No comments:
Post a Comment