Tuesday 23 August 2011

LIBYA- MTOTO MWINGINE WA GADDAFI ATOWEKA

Inasemakana Muhammad ambaye alikuwa chini ya waasi ametoweka.

Hii ni habari mbaya kwa waasi kwani mtoto mwingine wa Gaddafi alijitokeza hadharani usiku wa kuamkia leo na kuongea na waandishi wa habari Rixos Hotel.

Mapigano yanaendelea kwenye ngome ya makazi ya Gaddafi ambapo inasemekana amejificha.

No comments:

Post a Comment