Monday, 1 August 2011

CELEBRATING 50YRS OF WHAT???!!!!

Serikali ya CCM inabidi kutoa maelezo kwa wananchi, Je katika miaka 50 haya ndio mafanikio tuliyofikia?

Kiongozi wetu kila wakati anakwea pipa, na kusema anaenda kutafuta wawekezaji, je kodi za wananchi na misada ya wafadhili inafanya kazi inavyopaswa, na hao wafadhili wanaonaje picha hii?

Inasikitisha!!

Habari zaidi - http://latestnewstz.blogspot.com/2011/08/wanafunzi-wafanya-mitihani-katika.html

No comments:

Post a Comment